Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Kiukweli hali ni mbaya, dada zetu wanaomba pesa kupitiliza. Hebu fikiria mtu hujamtongoza, ni yale mazoea tu ya kawaida lakini kila muda kwako ujumbe unaingia wa kuombwa pesa tu.
Mwengine hujamtongoza na anataka umlipie kodi na hapo hapo simu yake Oppo imevunjika kioo inatakiwa 100k. Hivyo vyote nimepewa mimi kisa tu ni kwamba nilionesha yale mazingira ya kumuhitaji kwa kipindi cha nyuma.
Nilivyoona naanza kuegemewa nikafuta huo mpango, ila sasa pamoja na kufuta huo mpango bado ananing'ang'ania, ananipiga vibomu kila saa utadhani mimi mume wake.
Hivi mtu huyu nimfanyeje?