Wadada wanadanganywa sana na Rose Shaboka

Mmh basi ye ndo kaoa huyo bwana ila tujipe muda tu huenda lo lote likatokea

Pale kwa akili yangu siwezi shauri rafiki awe na mpenzi kwenye kile kikundi labda nimshauri amkomoe mmoja wao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann?
 
Mimi na-support wadada wasikimbilie ndoa,maana Kila siku nasikia kesi za majirani na ndugu zangu wakipiga wake zao kwa sabbu za kipumbavu,.ukiacha watoto ndoa especially za kiafrika ni minus-minus kwa mwanamke
 
Kuna muda anaonge vitu vya maana kuna muda anaongea uongo uongo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…