Wadada wanadanganywa sana na Rose Shaboka

Wadada wanadanganywa sana na Rose Shaboka

Mmh basi ye ndo kaoa huyo bwana ila tujipe muda tu huenda lo lote likatokea

Pale kwa akili yangu siwezi shauri rafiki awe na mpenzi kwenye kile kikundi labda nimshauri amkomoe mmoja wao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann?
 
Kuna mchungaji anajiita Rose shaboka.

Nadhani Kuna mahubiri yake ya hivi Karibuni amekuwa akihamasisha wanawake waendelee kuwa singo na wala wasiwe na haraka ya kukimbilia ndoa.

Ilhali yeye mwenyewe ana ndoa yake tena ameipata kwa kuipambania kutoka kwa msanii wa nyimbo za injili angel Bernard.

Kwanza ndoa yake imekuwa ya migogoro sana mara zote mume wake amekuwa mtu wa kumpiga matukio ila akiwa madhabahuni kama hakuna kinachoendelea.

Wadada kuweni makini na wachungaji wenu.

Ndoa sio maigizo.

Anapenda UNFEMININE huyu dada.

Simsemi kwa ubaya.
Mimi na-support wadada wasikimbilie ndoa,maana Kila siku nasikia kesi za majirani na ndugu zangu wakipiga wake zao kwa sabbu za kipumbavu,.ukiacha watoto ndoa especially za kiafrika ni minus-minus kwa mwanamke
 
Kuna muda anaonge vitu vya maana kuna muda anaongea uongo uongo tu
 
Back
Top Bottom