Wadada wanapendelea zaidi marashi ya kiume kwa sababu huwa yananukia vizuri

za kiume nyingi harufu zake zimetulia sio kama za kike harufu kali, nilitokeaga kuipenda sana nivea for men enzi zile
 
Hta mimi huwa natumia perfume za kiume, coz harufu yake iko so pleasant. Marashi ya kike mengi yana harufu kali sana inayokera saa ingine. kama nahitaji marashi lazmz inunuen "pure homme"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…