Wadada wanapendelea zaidi marashi ya kiume kwa sababu huwa yananukia vizuri

Wadada wanapendelea zaidi marashi ya kiume kwa sababu huwa yananukia vizuri

Mnavyoisifia ngoja niijaribu. Zinapatikana wapi? au ndio zile mwezi mmoja imeisha?
Hapana zipo tele, mtaani buku 7.Kariakoo buku 6.Lakin is a modest spray ambayo haina harufu ya kukera.Siku nzima unakuwa fresh.Ukianza hautoacha.Jaribu stamina au rave culture zina shabihiana.Naona sasa hivi zipo hot zinafika na kuisha haraka
 
Katika kukutana na kuongea kwangu na baadhi ya wadada, iwe hapa bongo na hata ughaibuni, nimeshasikia wakisema kuwa wao wanapendelea zaidi marashi [pafyumu, deodorant, na body sprays] ya kiume kwa sababu huwa yananukia vizuri.

Niliwahi kuwa na mfanyakazi mwenzangu mmoja hivi aliyewahi kunambia kuwa yeye hutumia viondoa harufu [deodorant] vya kiume.

Nilimshangaa kidogo pindi aliponambia hivyo. Niliona ni kitu cha ajabu kwa sababu sipati picha njemba kutumia marashi ya kike.

Baadaye tena nikakutana na mdada mwingine naye akanambia kwamba yeye anapenda kutumia 'pafyumu' za kiume. Nikaguna kidogo...halafu nikamkumbuka yule mfanyakazi mwenzangu.

Basi, nikadhani labda ni hao wawili tu. Siku moja niko nyumbani chumbani nasikia mlango unagongwa....kuuliza nani huyo? Nikasikia sauti ya dada binamu...eti anaomba kujipulizia unyunyu wangu wa Bottega Veneta!

Kumwuliza kwa nini unataka unyunyu wangu ambao ni wa kiume? Nikapata jibu lilelile...eti unanukia vizuri! Khaaa!

Sasa nikabaki najiuliza....hivi ni kweli marashi ya kiume wadada wanayependa kihivyo?

Ningependa kusikia toka kwa wadada wa JF pia kama haya niliyoyasikia ni ya kweli.

Karibuni.....
Mpenzi huwa na share nae perfume na lotion vaseline sport for men,,, huwa anapenda sana anapopishana na mtu njiani kajipulizia perfume yangu huwa anapata shida sana... Hata Dada yangu huwa anahisi nipo around akinusa perfume ninayo tumia.
 
Nnajuwa zile raha zako za u cuckold ndiyo zinakutoa povu.
 
Gozi naona hakukazi vizuri wewe maana una kila dalili za kuzidiwa na genye

Nnajuwa u baradhuli (cuckold) unakufanya uwe na hamu ya kusikiliza yanayojiri bed rooms za watu. Hapa ume buuugi man.

Yule wa Toronto hakupata michapo alimfanya nini hawara yako?

Jaribu kumueleza tu raha zako atakuelewa na atakuwa ana kupa michapo kila anapofanywa. Kuwa mkweli tu usione haya. Sisi, mabaradhuli wa sampuli yako huwa tunafundwa kuwaelewa isiwe shida.
 
Nnajuwa u baradhuli (cuckold) unakufanya uwe na hamu ya kusikiliza yanayojiri bed rooms za watu. Hapa ume buuugi man.

Yule wa Toronto hakupata michapo alimfanya nini hawara yako?

Jaribu kumueleza tu raha zako atakuelewa na atakuwa ana kupa michapo kila anapofanywa. Kuwa mkweli tu usione haya. Sisi, mabaradhuli wa sampuli yako huwa tunafundwa kuwaelewa isiwe shida.

Gozi kalala doro
 
Aisee itafute tu hutojutia
Mkuu mbona mi nilinunua lakini inanuka vibaya? ni original kabisa kwani niliingiza batch namba yake kwe mtandao ikaniletea jina. Pia nilii-scan kwa barcode.
Nzuri ni ipi? yenye alcohol au free alcohol.?!
 
Back
Top Bottom