Mkuu ukishapuliza body spray unapiga pamba kisha sasa ndo unapulizia perfumKuna body spray ya sisi walalahoi iko poa sana inaitwa BELLAGIO...stamina,raven etc..buku sita tu.lakini ndo habari ya mjini kwasasa
Mnavyoisifia ngoja niijaribu. Zinapatikana wapi? au ndio zile mwezi mmoja imeisha?Kuna body spray ya sisi walalahoi iko poa sana inaitwa BELLAGIO...stamina,raven etc..buku sita tu.lakini ndo habari ya mjini kwasasa
Hapana zipo tele, mtaani buku 7.Kariakoo buku 6.Lakin is a modest spray ambayo haina harufu ya kukera.Siku nzima unakuwa fresh.Ukianza hautoacha.Jaribu stamina au rave culture zina shabihiana.Naona sasa hivi zipo hot zinafika na kuisha harakaMnavyoisifia ngoja niijaribu. Zinapatikana wapi? au ndio zile mwezi mmoja imeisha?
Mkuu Valentina wakati gani tena huo...mpaka umetabasamu mwenyewe...mmmmhhInanikumbusha wakati flani hii kitu
Wakati flani hivi ilikua good moment with my family tulikua tunaiba belagio ya sis, akiwa hayupo,tukiona masaa yake ya kurudi yamekaribia tunabadili nguo harufu asisikieMkuu Valentina wakati gani tena huo...mpaka umetabasamu mwenyewe...mmmmhh
Hapana.za kike zina harufu kali kuliko za kiume
Mpenzi huwa na share nae perfume na lotion vaseline sport for men,,, huwa anapenda sana anapopishana na mtu njiani kajipulizia perfume yangu huwa anapata shida sana... Hata Dada yangu huwa anahisi nipo around akinusa perfume ninayo tumia.Katika kukutana na kuongea kwangu na baadhi ya wadada, iwe hapa bongo na hata ughaibuni, nimeshasikia wakisema kuwa wao wanapendelea zaidi marashi [pafyumu, deodorant, na body sprays] ya kiume kwa sababu huwa yananukia vizuri.
Niliwahi kuwa na mfanyakazi mwenzangu mmoja hivi aliyewahi kunambia kuwa yeye hutumia viondoa harufu [deodorant] vya kiume.
Nilimshangaa kidogo pindi aliponambia hivyo. Niliona ni kitu cha ajabu kwa sababu sipati picha njemba kutumia marashi ya kike.
Baadaye tena nikakutana na mdada mwingine naye akanambia kwamba yeye anapenda kutumia 'pafyumu' za kiume. Nikaguna kidogo...halafu nikamkumbuka yule mfanyakazi mwenzangu.
Basi, nikadhani labda ni hao wawili tu. Siku moja niko nyumbani chumbani nasikia mlango unagongwa....kuuliza nani huyo? Nikasikia sauti ya dada binamu...eti anaomba kujipulizia unyunyu wangu wa Bottega Veneta!
Kumwuliza kwa nini unataka unyunyu wangu ambao ni wa kiume? Nikapata jibu lilelile...eti unanukia vizuri! Khaaa!
Sasa nikabaki najiuliza....hivi ni kweli marashi ya kiume wadada wanayependa kihivyo?
Ningependa kusikia toka kwa wadada wa JF pia kama haya niliyoyasikia ni ya kweli.
Karibuni.....
Andika kiswahili tafadhaliIt's all in your head.
Kibibi mbona kama una hasira hebu pinga kwa hoja michango ya wadauIt's all in your head.
Andika kiswahili tafadhali
Kibibi mbona kama una hasira hebu pinga kwa hoja michango ya wadau
[emoji2]Jifunze Kingereza.
Kibibi mbona kama una hasira hebu pinga kwa hoja michango ya wadau
Nnajuwa zile raha zako za u cuckold ndiyo zinakutoa povu.
Gozi naona hakukazi vizuri wewe maana una kila dalili za kuzidiwa na genye
Nnajuwa u baradhuli (cuckold) unakufanya uwe na hamu ya kusikiliza yanayojiri bed rooms za watu. Hapa ume buuugi man.
Yule wa Toronto hakupata michapo alimfanya nini hawara yako?
Jaribu kumueleza tu raha zako atakuelewa na atakuwa ana kupa michapo kila anapofanywa. Kuwa mkweli tu usione haya. Sisi, mabaradhuli wa sampuli yako huwa tunafundwa kuwaelewa isiwe shida.
Mkuu mbona mi nilinunua lakini inanuka vibaya? ni original kabisa kwani niliingiza batch namba yake kwe mtandao ikaniletea jina. Pia nilii-scan kwa barcode.Aisee itafute tu hutojutia