Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

mkuu, we hatari na mfukunyukuu , japokuwa wametumia ID complicated but umesha meet nao, but naskia PM zao zimefungwaa
 
nakukana wapi ww hufahamiani na member yoyote humu, na kuna sehemu unaandika kiume kabisa kwanini tusiwe na mashaka? hapo naona avatar nzuri, jina zuri navutiwa kuchat na ww kumbe dume, yafaa nini sasa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kama wapi nishaandika kiume we tembosa ,kwa hiyo nawe una mashaka njoo unikague
 

Daaaaaaaaaah!!!!
Mbona mazari kama haya mimi sijawahi kuyapata jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…