Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

[emoji3] [emoji3] watu na fani zao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio fan wala nini!!
Na ni vyema wadada wasipende kuonana na watu, wengine ni wabaya sana! Hawasiti kukuandika jinsi walivyokuona
Na kuponda kwingi.

Mimi kuna wadada nimekutana nao mara kadhaa bila hata wao wenyewe kujijua, wakati unakuta nawajua kabisa na ID zao, but i never write a shit on them...

I respect them...
 
Very well said
 
Ndio heshima inayotakiwa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…