marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,635
- 3,656
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama jambazi kaambiwa aende central akahakiki silaha yakeNyuzi kama hizi hautowaona.[emoji23][emoji23]
Nitamtaja baadaye.Mtaje basi tumjue
Hebu mdirect kwangu nataka pini niweke ndanuNamjua Monicer tu maana nishamuona na ni babe face wa hatariiii, kidogo tu nitangaze nia maana yupo single ila nikajikaza kwa sababu sipo single
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Eeeeeh! wanawake wa Kiafrika wanapenda sana Ushirikina hawawezi kukukimbia hata siku moja.
Wewe utakuwa unaficha siri tu lakini ukweli ni kwamba unafahamiana nao wengi tu humu.
Iceman 3D kumbe sipo peke yanguHawa hapa chini wanajitambulisha kama wanawake, lakini matendo yao yanadhihirisha ni wavulana :-
1. moniccca
2. richaabra
3. Miss Natafuta
4. amanda cute
5. I am a girl
Preta mambo, naomba tuonane!
😀😀
Mi sijali niwe mwanaume au mwanamke [emoji7]kama kuna anayekufahamu atakutaja!
kama hamna ukweli utabaki nao wewe mwenyewe.
Hata ndumba imegoma kaka mkubwa au?Mnafanyafanyaje mpaka wanakubali muonane? Mi mbona hawataki[emoji30] [emoji30] [emoji31] [emoji31] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Kama ni kisu, kimechoma hadi kwenye mfupa....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa hapa chini wanajitambulisha kama wanawake, lakini matendo yao yanadhihirisha ni wavulana :-
1. moniccca
2. richaabra
3. Miss Natafuta
4. amanda cute
5. I am a girl
Ukishajua ikusaidie nnWewe ni Ke au ni Me Ke?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hapana kaka sikutaka tu kuitumiaHata dumba imegoma kaka mkubwa au?