Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha...wewe na huyo dada mgeni...
Penzi changa ndiye mdudu gani!?
Teh eti penzi changa. Sijui litakomaa lini
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Teh eti penzi changa. Sijui litakomaa lini
Utaelewa mwisho wa mada.Mi mzito kuelewa, sijaelewa....
Hizo ndundi zako na kui, ni Zena Vs Betina[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ananitafutia balaa huyu.
Ninavyoogopa kupigana yaani nitatoka ndukiiii.Hizo ndundi zako na kui, ni Zena Vs Betina
Haha kui mwenyewe mayai mbonaNinavyoogopa kupigana yaani nitatoka ndukiiii.
Wakuu!
Nimeona nyuzi kadhaa na comments kadhaa hapa jukwaani, zikilalamika sana juu ya wanaume kutumia ID za kike ili kupata umaarufu. Wengi wanasema Jf hakuna hii jinsia pendwa ya KE.
Ninaomba tufanye verification kidogo hapa, ili mambo yakae sawa.
Mimi nitawataja wadada waliopo humu ambao nina uhakika 100% ni wadada tena warembo! Wengine nimekutana nao wengine tumewasiliana tena kwa muda mrefu sasa na ni marafiki wazuri pia.
Hii itaondoa dhana nzima ya "jf wengi ni wanaume au hakuna wanawake"....
Kama unaona vyema pia, unaweza kuwaongezea wewe ila uwe na ushahidi!!
shansarie i know her very well [emoji8]
KOKUTONA
Honey Faith
Mamndenyi (namfahamu vyema.)
Valentina
marejesho
Preta (nina uhakika via Arushawing)
Heaven on Earth
Passion Lady
kan'tangaze
mamaafacebook
TUMBOO
angelita
lara 1
Lady doctor (kupitia Arushaone)
miss chagga
Madame B (tulishaongea mara kadhaa)
MMAHE
mwallu (rafiki wa muda mrefu).
atoto (well verified...)
.............
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] hao hapo nina uhakika kabisa ni KE.
Kuna wengine nimewasahau kidogo nikiwakumbuka...nitaendelea na verification.
Jf warembo wapo....