kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,499
Hizo ndundi zako na kui, ni Zena Vs Betina
Hahah!, umenichekesha mweh!
[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ndundi zako na kui, ni Zena Vs Betina
Ninavyoogopa kupigana yaani nitatoka ndukiiii.
Sasa naanzaje kupigana na kipenzi changu!!
Unahamasisha ushoga...mbona mm sioni kama kuna tatizo lolote ikiwa wanaotambilika kama wanawake ni feki au la maana sioni kama kuna namna yoyote mawazo na mchango wa mtu unakuwa bolded kwa jinsia yake.
Pia ikiwa kunawatu wanadhaniwa wako vile wakati wako vinginevyo si ndio kutimia kwa lengo la jamii forums la kuchangia bila kutambuliwa identity yako au ujitambulishe kwa hiari yako mwenyewe.
sioni kosa lolote kama mtu atajipambanua kuwa ni mwanamke wakati sio halafu akacheza nafasi ya mwanamke vile itakiwavyo. yaani namaanisha akitongozwa anakubali na kupiga vibuti, anahongwa na kuchuna kisawasawa kwa wanaojilengesha, anawaandikia madume wenzake sms za mapenzi hadi wanapata tulizo la moyo wakijua ni ke kweli kumbe dume mwenzao.
kwa hiyo achaneni na maneno ....weken Muziki
Poa kabisa babu, za wewe?Mambo vipi?
Haha kumbe Vale alishani-verify bana tehninaamini wewe hauhitaji verification...
Valentina anakufahamu.
Hahaha hakuongopa. kui ni jike dume
haeleweki sasa...
GilesiWakuu!
Nimeona nyuzi kadhaa na comments kadhaa hapa jukwaani, zikilalamika sana juu ya wanaume kutumia ID za kike ili kupata umaarufu. Wengi wanasema Jf hakuna hii jinsia pendwa ya KE.
Ninaomba tufanye verification kidogo hapa, ili mambo yakae sawa.
Mimi nitawataja wadada waliopo humu ambao nina uhakika 100% ni wadada tena warembo! Wengine nimekutana nao wengine tumewasiliana tena kwa muda mrefu sasa na ni marafiki wazuri pia.
Hii itaondoa dhana nzima ya "jf wengi ni wanaume au hakuna wanawake"....
Kama unaona vyema pia, unaweza kuwaongezea wewe ila uwe na ushahidi!!
shansarie i know her very well [emoji8]
KOKUTONA
Honey Faith
Mamndenyi (namfahamu vyema.)
Valentina
marejesho
Preta (nina uhakika via Arushawing)
Heaven on Earth
Passion Lady
kan'tangaze
mamaafacebook
TUMBOO
angelita
lara 1
Lady doctor (kupitia Arushaone)
miss chagga
Madame B (tulishaongea mara kadhaa)
MMAHE
mwallu (rafiki wa muda mrefu).
atoto (well verified...)
.............
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] hao hapo nina uhakika kabisa ni KE.
Kuna wengine nimewasahau kidogo nikiwakumbuka...nitaendelea na verification.
Jf warembo wapo....
DhibitishaEvelyn salt
Hornet
Ichana
Geniveroz
Dinazarde