Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

[emoji23][emoji23][emoji23] ipi hiyo tena jaman lol.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]jaman kwani kuna ngapi
Dada si ni hyo hyo tu moja Tu[emoji1][emoji1][emoji14][emoji14]
 
Wakuu!
Nimeona nyuzi kadhaa na comments kadhaa hapa jukwaani, zikilalamika sana juu ya wanaume kutumia ID za kike ili kupata umaarufu. Wengi wanasema Jf hakuna hii jinsia pendwa ya KE.

Ninaomba tufanye verification kidogo hapa, ili mambo yakae sawa.
Mimi nitawataja wadada waliopo humu ambao nina uhakika 100% ni wadada tena warembo! Wengine nimekutana nao wengine tumewasiliana tena kwa muda mrefu sasa na ni marafiki wazuri pia.

Hii itaondoa dhana nzima ya "jf wengi ni wanaume au hakuna wanawake"....
Kama unaona vyema pia, unaweza kuwaongezea wewe ila uwe na ushahidi!!

shansarie i know her very well [emoji8]
KOKUTONA
Honey Faith
Mamndenyi (namfahamu vyema.)
Valentina
marejesho
Preta (nina uhakika via Arushawing)
Heaven on Earth
Passion Lady
kan'tangaze
mamaafacebook
TUMBOO
angelita
lara 1
Lady doctor (kupitia Arushaone)
miss chagga
Madame B (tulishaongea mara kadhaa)
MMAHE
mwallu (rafiki wa muda mrefu).
atoto (well verified...)
.............
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] hao hapo nina uhakika kabisa ni KE.
Kuna wengine nimewasahau kidogo nikiwakumbuka...nitaendelea na verification.

Jf warembo wapo....
Nifah Sijaona jina lako hapa.

🥹
 
Huyo mimi nae hatufahamiani ndio maana.
Na kipindi huo uzi umeanzishwa nilikuwa mgeni bado sina makeke sana.
Basi naomba niku verify.

Au una mtu tayari humu?

Be in for me plz.

Najua #The Bold mshaachana.
 
Wakuu!
Nimeona nyuzi kadhaa na comments kadhaa hapa jukwaani, zikilalamika sana juu ya wanaume kutumia ID za kike ili kupata umaarufu. Wengi wanasema Jf hakuna hii jinsia pendwa ya KE.

Ninaomba tufanye verification kidogo hapa, ili mambo yakae sawa.
Mimi nitawataja wadada waliopo humu ambao nina uhakika 100% ni wadada tena warembo! Wengine nimekutana nao wengine tumewasiliana tena kwa muda mrefu sasa na ni marafiki wazuri pia.

Hii itaondoa dhana nzima ya "jf wengi ni wanaume au hakuna wanawake"....
Kama unaona vyema pia, unaweza kuwaongezea wewe ila uwe na ushahidi!!

shansarie i know her very well [emoji8]
KOKUTONA
Honey Faith
Mamndenyi (namfahamu vyema.)
Valentina
marejesho
Preta (nina uhakika via Arushawing)
Heaven on Earth
Passion Lady
kan'tangaze
mamaafacebook
TUMBOO
angelita
lara 1
Lady doctor (kupitia Arushaone)
miss chagga
Madame B (tulishaongea mara kadhaa)
MMAHE
mwallu (rafiki wa muda mrefu).
atoto (well verified...)
.............
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] hao hapo nina uhakika kabisa ni KE.
Kuna wengine nimewasahau kidogo nikiwakumbuka...nitaendelea na verification.

Jf warembo wapo....
Miaka 7 iliyopita.
 
Back
Top Bottom