Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Tutaanza kufanya ikiwa nyinyi mtakubali kutupa mimba...Kama hiyo 50/50 mmekubali mbona na kazi za ndani kama kupika, kuosha vyombo, kufua na kusafisha nyumba hamzifanyi sasa [emoji848][emoji848]
Safi sana..unajielewa sana mremboUshauri wako ni kwamba "Tupige mizinga" je tukifanya hivo ndiyo hawatahonga gari na majumba huko kwingine?
Haina haja ya kizinga mume, baby muelewa atakupa mwenyewe si hadi umchomoe bana
Nafuu mimi yangu haijai wewe yako hata aipo licha ijae .Akili yako hata kwenye kisoda haijai.
Wewe ndio ujipige mara mia mbili mara elfu tisini mara laki mara millioni mara billioni mara trilioni useme mimi Marioo.Mleta mada jipige kifuani mara tatu halafu sema mimi ni Fala
Mwambie sasa naye akusaidie kuzaa , akusaidie kulea akusaidie kutunza familiaKama hiyo 50/50 mmekubali mbona na kazi za ndani kama kupika, kuosha vyombo, kufua na kusafisha nyumba hamzifanyi sasa [emoji848][emoji848]
Punguza jazba acha kuhonga malaya lea familia yako naumjali mke wako na mama yako hela zako uache kupeleka nje nakuwekea juhudi kwenye sehemu ambako siko.Eti mwanaume mpe majukumu, huu upuuzi aliekupandikizia kakupoteza. Majukumu yetu tunayajua vyema.
Mwanaume ndiye kiumbe ambae kama hakupendi atakundanganyia pesa zake ili usipate muda wa kujiuliza kama anakupenda au lah!!. Na akishajua humfai pesa ataendelea kukupa ili akutumie kukidhi haja zake huku akiendelea pia kumjali anaempenda kwa dhati.
Na kwa akili hizi mtaendelea kupelekewa moto tu kwa vijisenti vya kawaida alafu ukijastuka muda umekuacha, Mwili umechoka, na unasifa mbaya. Ukishafika hapo huna budi kuvizia waume za watu tu.
Inaandikwa hivi rubbish like wise'Raabish!'
Sasa sikia humu wapo sanaa mpaka inasikitisha wengi ni wanaume ndio maana najaribu kuwapa warning hawa watu ila wao wamekolezwa na malimbwata wala hawasiki au hawaoniukiulizwa wewe una Nini Cha kuoffer kwa mwanaume utajibu nini? itoshe kusema wewe Ni mdangaji tu lakin nasikitika kusema humu hakuna wateja dada.
Mwanaume akikupa mwenyewe woi .Asee sanamu lako tuliweke wap BUNGENI au stend mpya ya Magufuli kila abiria alione?
Nyie ndio wanawake wenye akili
Sawa juma lokole ..ujumbe umetufikia ......Na kwanini uwe na mwanamke ambaye humpendi mzee si ubaki na huyo unayempenda kwa dhati [emoji2369][emoji2369]
Aiseee hongera sana hongera sana ungekuwa Arusha ningekupa zawadi kubwa sana .Treat a man like a man, tatizoo wadada sijui wamama wanawalea lea sana... Mwanaume mpe majukumuu na usipende kuutabiria mfuko wakeeee.....
Sawa ila raha ya mume nikuchunwa periodUmeanza vizuri lakin hapo kwenye "raha ya mwanaume kuchunwa" hiyo ni nothing but pathetic excuse
Kazi ya mwanaume ni kumtunza mwanamke wake na familia lakin sio iwe kuchunwa. Kama una uwezo unasaidia baadhi ya mambo. Si kulalia kwa mwenzako kisa unajiona una right ya kuteketeza hela yake for no apparent reason. Labda kama hiyo pesa haina mipango na kazi.
Otherwise una influence udangaji. Sasa ww utakuwa na tofauti gani na wadangaji wa huko nje?
Hii ni mindset ya kimalaya. Haifai kwa wale wanaotaka kuolewa
Nope raha ya mume si kuchunwa hiyo ni raha ua danga, sponsor, muhun flani hiv.Sawa ila raha ya mume nikuchunwa period
Hajuelewi huyo. Nadhan ni aina ya wale wanawake wanaojua mwanaume yupo kumuhudumia tu mpaka nguo za ndan na hela yake ni ya salon na kununua nguo ila ya mwanaume ni ya kulisha familia kufungulia mirad na kulipa ada za watoto akili za kindez sanaaa hizi za mtoa mpost. Huenda hana shule hana exposure yyte kwahyo msamehe bureUshauri wako ni kwamba "Tupige mizinga" je tukifanya hivo ndiyo hawatahonga gari na majumba huko kwingine?
Haina haja ya kizinga mume, baby muelewa atakupa mwenyewe si hadi umchomoe bana
Naku PM maana sipo mbali na Arusha.... Na zawadi yangu niipateeeeš¤£š¤£š¤£Aiseee hongera sana hongera sana ungekuwa Arusha ningekupa zawadi kubwa sana .
Wewe sio mnafiki umewachana .
Dada unachukia wanaume? Unique FlowerSawa ila raha ya mume nikuchunwa period
Acha kukaririshwa hiyo ni kwa kiswahili,wewe umeenda kugoogle unajiona msooomi,wabongo bhana!Thibitisha inaandikwa hivyo na sio nilivyoandika Mimi!'Nansensii'Inaandikwa hivi rubbish like w
nonsense nimegoogle mie mjanja wewe zuzu halafu upo kama waleee wanaochukuliwagwa vitutiAcha kukaririshwa hiyo no kwa kiswahili,wewe umeenda kugoogle unajiona msooomi,wabongo bhana!Thibitisha inaandikwa hivyo na sio nilivyoandika Mimi!'Nansensii'