Wadada/wanawake msijidanganye kwa hili

Wadada/wanawake msijidanganye kwa hili

Eti mwanaume mpe majukumu, huu upuuzi aliekupandikizia kakupoteza. Majukumu yetu tunayajua vyema.

Mwanaume ndiye kiumbe ambae kama hakupendi atakundanganyia pesa zake ili usipate muda wa kujiuliza kama anakupenda au lah!!. Na akishajua humfai pesa ataendelea kukupa ili akutumie kukidhi haja zake huku akiendelea pia kumjali anaempenda kwa dhati.

Na kwa akili hizi mtaendelea kupelekewa moto tu kwa vijisenti vya kawaida alafu ukijastuka muda umekuacha, Mwili umechoka, na unasifa mbaya. Ukishafika hapo huna budi kuvizia waume za watu tu.
Punguza jazba acha kuhonga malaya lea familia yako naumjali mke wako na mama yako hela zako uache kupeleka nje nakuwekea juhudi kwenye sehemu ambako siko.
 
ukiulizwa wewe una Nini Cha kuoffer kwa mwanaume utajibu nini? itoshe kusema wewe Ni mdangaji tu lakin nasikitika kusema humu hakuna wateja dada.
Sasa sikia humu wapo sanaa mpaka inasikitisha wengi ni wanaume ndio maana najaribu kuwapa warning hawa watu ila wao wamekolezwa na malimbwata wala hawasiki au hawaoni
 
Treat a man like a man, tatizoo wadada sijui wamama wanawalea lea sana... Mwanaume mpe majukumuu na usipende kuutabiria mfuko wakeeee.....
Aiseee hongera sana hongera sana ungekuwa Arusha ningekupa zawadi kubwa sana .

Wewe sio mnafiki umewachana .
 
Umeanza vizuri lakin hapo kwenye "raha ya mwanaume kuchunwa" hiyo ni nothing but pathetic excuse

Kazi ya mwanaume ni kumtunza mwanamke wake na familia lakin sio iwe kuchunwa. Kama una uwezo unasaidia baadhi ya mambo. Si kulalia kwa mwenzako kisa unajiona una right ya kuteketeza hela yake for no apparent reason. Labda kama hiyo pesa haina mipango na kazi.

Otherwise una influence udangaji. Sasa ww utakuwa na tofauti gani na wadangaji wa huko nje?
Hii ni mindset ya kimalaya. Haifai kwa wale wanaotaka kuolewa
Sawa ila raha ya mume nikuchunwa period
 
Sawa ila raha ya mume nikuchunwa period
Nope raha ya mume si kuchunwa hiyo ni raha ua danga, sponsor, muhun flani hiv.
Mtu unaetaka kuishi nae muda mrefu huwez kumtreat kama danga au kitega uchumi.

Mwanaume ni kuhudumia. Na kuhudumia kwake ni kwa utaratibu na umakini na awe na sense of responsibility.
Hizo hela unazodai za "kuchunwa" ni zile ambazo hazina kazi. Yaan mtu anapata hela ila hana majukumu.. na hizo unazipata kwa danga na sponsor
 
Ushauri wako ni kwamba "Tupige mizinga" je tukifanya hivo ndiyo hawatahonga gari na majumba huko kwingine?

Haina haja ya kizinga mume, baby muelewa atakupa mwenyewe si hadi umchomoe bana
Hajuelewi huyo. Nadhan ni aina ya wale wanawake wanaojua mwanaume yupo kumuhudumia tu mpaka nguo za ndan na hela yake ni ya salon na kununua nguo ila ya mwanaume ni ya kulisha familia kufungulia mirad na kulipa ada za watoto akili za kindez sanaaa hizi za mtoa mpost. Huenda hana shule hana exposure yyte kwahyo msamehe bure
 
Acha kukaririshwa hiyo no kwa kiswahili,wewe umeenda kugoogle unajiona msooomi,wabongo bhana!Thibitisha inaandikwa hivyo na sio nilivyoandika Mimi!'Nansensii'
nonsense nimegoogle mie mjanja wewe zuzu halafu upo kama waleee wanaochukuliwagwa vituti
 
Back
Top Bottom