Wadada/wanawake msijidanganye kwa hili

Wadada/wanawake msijidanganye kwa hili

Ushauri wako ni kwamba "Tupige mizinga" je tukifanya hivo ndiyo hawatahonga gari na majumba huko kwingine?

Haina haja ya kizinga mume, baby muelewa atakupa mwenyewe si hadi umchomoe bana
Yani hiyo kupiga mizinga jamani ni aibu sana! Mie malezi niliyopewa ni ya kusimama na miguu yangu mwenyewe, kuna siku naamka sina mbuni lkn kumwambia jamaa naomba hapana aisee achilia mbali kumchuna mmmh!
 
Sawa bana Kenzy😂 kajinga kabisa
Aliniambia vingi vyengine nakuheshimu tu ila hili la kulia lazima nikuambie maana alisema ukilia huwa unaliza na wengine kutokana na namna hilo komwe linavyojikunjaga! So please don't cry..😂
 
Ushauri wako ni kwamba "Tupige mizinga" je tukifanya hivo ndiyo hawatahonga gari na majumba huko kwingine?

Haina haja ya kizinga mume, baby muelewa atakupa mwenyewe si hadi umchomoe bana
Nina zawadi yako bibie krismas yako itakuwa mtelezo haha
 
Yani hiyo kupiga mizinga jamani ni aibu sana! Mie malezi niliyopewa ni ya kusimama na miguu yangu mwenyewe, kuna siku naamka sina mbuni lkn kumwambia jamaa naomba hapana aisee achilia mbali kumchuna mmmh!
Ila kutumika unatumika shida zako hatimizi halafu zake unamtimizia hadi raha .
Ndio wale mnakufa na stress
 
Kama hiyo 50/50 mmekubali mbona na kazi za ndani kama kupika, kuosha vyombo, kufua na kusafisha nyumba hamzifanyi sasa [emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom