Wadada warembo wanaohitaji interview!!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Hili bango haliwahusu men Bali wadada Na wasichana warembo walio charming beautiful intelligent
Wanaokwenda Na wakati watafutaji wasomi wapenda burudani wenye
Mwamko Wa maisha wanaojipenda!

Unakaribishwa kujumuika katika live muosha rungu TV show
Ambapo tutakupa nafasi muruwa kabisa ya kushare nasi masuala Na issue anuai za kimaisha kuanzia harakati mahusiano uchumi burudani vipaji ujasiriamali ndoa malezi michezo ufahamu Na uvumbuzi biashara kazi Na kadha Wa kadha!
Kwa mwezi huu nafasi zimejaa ila unakaribishwa kubainisha muda ambao unaweza shiriki

Ikiwa hujisikii huru kuweka order yako hapa feel free kuni pm.

Be assured that every information is taken confidential! (Siri)

Haters mniache[emoji23] [emoji23]

DJ sepetu
 
Unazingua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona intaviuu imeshanishinda
Mi niko outdated kwa vitu vingi sana
Joanah kila mtu anajifunza kupitia wengine kumbuka hata dar ilikuwa kijiji

DJ sepetu
 
Mkuu uwe unawaona live aisee hawa wengine waigizaji

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Heeeee kumbe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…