Wadada watajuaje kama ulipanda ndege

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,137
Reaction score
3,931
2017 Sponsor kakutumia ticket ukaenda ukarudi.Umekaa miaka miwili unazunguka na hii tag tangu trip ile lakini huchani.Umepanda Saratoga kwenda Kigoma kwenu bado unayo hata maandishi yamefutika huchani.

Tag imeshika rangi nyekundu ya udongo na imefutika maandishi lakini huchani.

Huwa tunachana.Hehehe


 
O'hare= Chicago,Illinois
Ord= Orlando,Florida

Nitafute mkuu nikupatie ninazo za :-
Atlanta, Detroit, Orlando, Dallas, Charlotte, LaGuardia, JFK, Newark, Iceland, Toronto, Amsterdam, Dubai, Guangzhou, London, Kilimanjaro, Ethiopia, Nairobi, Rome,Frankfurt, Dar es Salam .
Kiduku Lilo jr


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Zipost hapa watakaotaka wadownload πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Zipost hapa watakaotaka wadownload πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna siku nilikaa kijiwe na machali sasa kuna chali mmoja akanita kona, akaniuliza hivi inawezekana kupata namba za US au ulaya?. Nikamwambia ndio nikamfahamisha jinsi ya kuipata mara namsikia yupo kwenye cm anasema nipo majuu nikirudi nitakupigia. Aahh nilishanga kweliπŸ˜‚


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Kuna jamaa ana namba ya Macau ya Whatsapp basi huwa anapenda kucomment kwenye group naskia dar inanyesha.Kumbe na yeye yupo dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…