ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Hahahaah hivyo vidude na boarding pass nabakigi navyo navikusanya kwenye droo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna vitu si vya kupost na kila kitu inabidi uwe na KIASITunaishi mara moja kwa nini asifurahi kupost?
Labda kama unaishi sinza, Mbezi beach, Masaki huko kwa wasomi wanao jua ma-tag ya kimataifa,lkn Mbgala, sijui Kipawa,G/ Mboto, chanika hawakuelewi! watadhani ni karisiti tu ka Dukani kwa Muhindi k/koo. umesahau kuchana, hata wewe hujui pamoja na kupanda Bombadier2017 Sponsor kakutumia ticket ukaenda ukarudi.Umekaa miaka miwili unazunguka na hii tag tangu trip ile lakini huchani.Umepanda Saratoga kwenda Kigoma kwenu bado unayo hata maandishi yamefutika huchani.
Tag imeshika rangi nyekundu ya udongo na imefutika maandishi lakini huchani.
Huwa tunachana.Hehehe
View attachment 1235724