Wadada watajuaje kama ulipanda ndege

Hahahaah hivyo vidude na boarding pass nabakigi navyo navikusanya kwenye droo.
 
Labda kama unaishi sinza, Mbezi beach, Masaki huko kwa wasomi wanao jua ma-tag ya kimataifa,lkn Mbgala, sijui Kipawa,G/ Mboto, chanika hawakuelewi! watadhani ni karisiti tu ka Dukani kwa Muhindi k/koo. umesahau kuchana, hata wewe hujui pamoja na kupanda Bombadier
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…