Wadada wavaa mawigi na kutingisha vichwa vyao kidogo pindi uwaongeleshapo..

Yaani wanaume wa Jf wananishangaza... Wasichana wanaowaponda huku, wakienda mitaani ndo wanawakimbiza... Mdada akijisukia zake twende kilioni a.k.a mnyoosho wanamuona mshamba. Alafu huku wanalalama kutaka wadada natural!!!
itabidi nitafute msabato😀😀😀
 
aje usiku umeme umekatika kavaa wigi na kucha ndefu,lazima ujichome visu ukijua jini kaingia😀😀😀
 
Yaani wanaume wa Jf wananishangaza... Wasichana wanaowaponda huku, wakienda mitaani ndo wanawakimbiza... Mdada akijisukia zake twende kilioni a.k.a mnyoosho wanamuona mshamba. Alafu huku wanalalama kutaka wadada natural!!!
Uje kama Fenela mkandala
Nime miss huyu dada hivi yuko wapi now days?
Msalimieni sana bana mkimuona huko
Binafsi napenda natural hair
Kama ni wigi (kwa wale ambao hawajabahatika kuwa na Nywele ndefu) liwe Kama Nywele za asili na Sio makatani yaliyo pakwa rangi
Huo ni mtazamo wangu binafsi
 
Mkuu nakushukuru Kwa mada Hii ya wingi,ni Jana tu nimepanda daladala,huku kwetu mkoani,ndani ya gari kulikuwa na Dada Wa kizungu,na Wa Dada Wa kiswahili,na Mimi nikajisemea moyon ngoja nione kati ya Dada mswahili na mzungu nani ataongea anatikisa kichwa,du Dada mswahili alitia fola Kwa kutikisa kichwa na manywere yake ya marehem Dada Wa kizungu hata habar hana,Dada alinikera sana,Dada zetu mubadilike,naona walikuwa wanatokea airport,thamin utanzania na uafrika wako acha kuwa mtumwa Wa mambo ya kuiga,Kwa wenye mapovu njoon,
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Bichwa kubwa Kama kavaa Helmet!
Ila wakuu kuna comments zenu zinachekesha aicee [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Eti kama "kavaa helmet" mara nywele ya marehemu wa India...!

Nimevuta picha ya madereva wa bodaboda na helmet zao...!
Mawigi mengine yananuka hasa tukipandaga daladala wanazingua sana na hiz nywele za marehem wa India
 
Wanaudhi sana.
 
Mawigi kipilipili hamna maana nywele za kibongo ngumu kuota kama mnazi.
 
Nywele za bandia huwa zinawasha zaidi hivyo hupelekea kutikisa vichwa. 80% ya hollywood actors na celebrity wengine wakizungu na kimarekani weusi wanajipamba kwa nywele,rangi na kila kitu bandia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…