Wadada wavaa mawigi na kutingisha vichwa vyao kidogo pindi uwaongeleshapo..

Inasikitisha sana...

Ila

Kila mtu anaishi vile atakavyo, as long as she doesn't violet the law's...

Thank's God mahondaw wangu she is natural on everything...


Cc: mahondaw
 
Thanks Smart911 sweetlove

Love me the way I am baby
Ofcourse i love you the way you are mahondaw wangu...

Will give you anything you wish for... I will take you any where out for a date...
Together we can the perfect soul mates...

I love you just the way you are and i can handle you just the way you are...
 
Wale wote waliobadili sura zao wakaaribika wawambie wanaotaka kutumia pia matumizi makubwa ya pesa kwakweli inaweza kusaidia
 
Wadada wa aina hiyo wanakuwa na miguu miembamba kama miiba ya nungu nungu
Hahahahaaaaa toba ya rabi hivi mbona unakosoa uumbaji wa mungu
Siajabu nawewe una sampuli ya miguu hiyo hiyo sema ndio hivyo nyan haoni kundule
 
Namshukuru Mungu najikubali 100% naweza kwenda sehemu yyt na nywele 3 kichwani kujipodoa ndio,sijui kabisa

Asante Mungu wangu kwa kuniumba hivi nilivyo.

Picha Tafwadhwal nasi tushuhudie Rehma zake Rabbana
 
Hapo ndio Mzungu huwa anaishia kumdharau mwanamke wa Kiafrika kupita maelezo, maana mwanamke wa kiafrika ameamua kuiga kitu cha Kijinga kabisa.

Niliwahi kukaa na jamii fulani ya wanawake wa kizungu, na wakaniambia moja ya kitu kinachowavutia wao ni kuona Nywele za asili za Kiafrika(Ngumu, Fupi na Pilipili) au Ngozi ya asili ya Mwamfrika(Nyeusi). Na huwa wanashangaa na kuhuzunika sana kuona wanawake wa kiafrika wakitengeneza Nywele na Ngozi bandia ili wafanane na wazungu.
 
Clementine au tina
 
aje usiku umeme umekatika kavaa wigi na kucha ndefu,lazima ujichome visu ukijua jini kaingiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…