Sisi tunasema In sha ALLAHKanaendelea poa. Nadhani anakaribia kutoka hospital
Hazijawahi kumtosha aisee. Nadhani hiyo ajali alipata imezidi kupunguza baadhi ya akili.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] relato ni chizi ujue msalimie sana
Ameen Mungu yu mwema [emoji120]Hazijawahi kumtosha aisee. Nadhani hiyo ajali alipata imezidi kupunguza baadhi ya akili.
Kanaendelea vizuri by the way,mwisho wa mwanzo wa mwezi anaweza ruhusiwa hospital
Ulivyosema "ngoja wakuje na mapovu yao" ulikuwa umesimama wapi kama sio jamvini?sasa kwani mimi ndio mhusika?
Basi poaUlivyosema "ngoja wakuje na mapovu yao" ulikuwa umesimama wapi kama sio jamvini?
Kumbe cjakosea kupenda mabonge ,[emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe mabonge tuna roho nzuri hiviii nilikuwa sijui
Kwani unanipenda mie [emoji15]Kumbe cjakosea kupenda mabonge ,[emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli kabisa wanene wana roho mbaya...wembamba wezi...ukikutana na mnene na ukarimu wake uongezee na wako mambo mubasharaMmh! Huo ni urongo.
Fuatilia kisayansi kwa nini wanataka watu wajipunguze...means utalipia tuu...wembamba wanajisikia...wanene wamejikubali...so mkitrade perfect deal...mi nawapenda wanene wanavaa uanamke
Kujifanya hujui cyo?Kwani unanipenda mie [emoji15]
Hhaahahhaahhahahanlikua najishangaa kwanin nina roho nzur kiasi hiki.....kumbe sababu ni obesity[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]asante mkuu kwa taarifa
Yaan ndio nimejua leo jamaan khaaaKujifanya hujui cyo?
Yap ni vzr na vyema ukajua ivyo mpendwa!Yaan ndio nimejua leo jamaan khaaa
Asante dumejeuriYap ni vzr na vyema ukajua ivyo mpendwa!
Asante kushukuru nami ntashukuru ukinipenda pia shunie!Asante dumejeuri
Kukupendaje tena nakupenda kama rafikiAsante kushukuru nami ntashukuru ukinipenda pia shunie!