Wadada wembamba na wanene inawahusu

Wadada wembamba na wanene inawahusu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] relato ni chizi ujue msalimie sana
Hazijawahi kumtosha aisee. Nadhani hiyo ajali alipata imezidi kupunguza baadhi ya akili.

Kanaendelea vizuri by the way,mwisho wa mwanzo wa mwezi anaweza ruhusiwa hospital
 
Kusema kweli wanawake wanene kwanza wachangamfu na wanaroho nzuri sana...ila ukutane na mwembamba duu...hujakaa atakwambia nimekusubiri kweli ...hebu tulipie chips kwanza...wembamba waongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nlikua najishangaa kwanin nina roho nzur kiasi hiki.....kumbe sababu ni obesity[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]asante mkuu kwa taarifa
 
Sio kweli kwamba wana roho mbaya LA hasha wanawake wembamba ni wakali, jiulize tu why kesi nyingi za unyanyasaji wa watoto zinawahusu wanawake wanene.
 
Back
Top Bottom