Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Niko nao wenzio... Vitambi kama chako... 🐸😬Acha kudanganya watu kwamba supu ya Kitimoto inaleta kitambi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko nao wenzio... Vitambi kama chako... 🐸😬Acha kudanganya watu kwamba supu ya Kitimoto inaleta kitambi!
Kumbe wewe ni mchaga?fika kilimanjaro.... nadhani wachaga ndo tunaongoza kwa unene
Wala, sina hicho kitambi. Pombe pia sinywi.Upunguze kunywa savana
The harsh truth🤪You sounded harsh!
sema tokea 2016 ulikuwa pisi fulani hivi ambayo imejijengea hazi humu ndani.Nilikuwa nje ya mada
Nilitaka kusema sikumbuki kama nilishawahi kuona uzi wako
Mie habari ya vitambi kwa wadada sina uzoefu nayo 😅
100% pande zote mbiliKumbe wewe ni mchaga?
Nilivyokuwa Arusha nilitamani nikikua niolewe na Wachaga ila wanabaguana🚮😂. Sasa hivi sina hata hamu nao100% pande zote mbili
wanabagua nini?😂Nilivyokuwa Arusha nilitamani nikikua niolewe na Wachaga ila wanabaguana🚮😂. Sasa hivi sina hata hamu nao
Wanatakana wao kwa wao😂. Ila nilipenda sana niolewe na Mchagawanabagua nini?😂
Vizuri,tupia kapichaWala, sina hicho kitambi. Pombe pia sinywi.
sio kweli aisee😂 hizo zinatokea bahati mbayaWanatakana wao kwa wao😂. Ila nilipenda sana niolewe na Mchaga
sema tokea 2016 ulikuwa pisi fulani hivi ambayo imejijengea hazi humu ndani.
ikafikia hatuta nikaanza kukufatilia Ili nikutongoze nipate kukuona unafananaje
ulikuwa mpole sana ikapilekea Mimi kusubiria komenti zako kwahamu kwenye jukwaa lako pendwa la mmu wakati ule.vidume tumekufatilia sana tuwekaribu newewe tutupie nyavu.
ila nashangaa Sasa hivi umechachuka sana umekuwa mswahili sio wakishua tena.maringo yamekuisha kwanini mrembo?
wee ulikuwa ni id yakike inayo sadikika inamilikiwa namrembo matata sana namba moja hapa jf.Joana.
Joana jina lakirembo sana.
Sasa hivi mbona umechuja sana?au ushazalishwa?aimin ushakuwa singo mamá?
😂 ngoja nilale.sio kweli aisee😂 hizo zinatokea bahati mbaya
sawa tukutane saa 6 mida ya kukonyeza konyeza😂😂 ngoja nilale.
Picha iko wapi mkuuHabari za jioni wanajamvi
Niende kwenye mada moja kwa moja. Hivi wadada wenzangu hua mmnaajiskiaje 🤔🤔.
Yaani hakuna kitu kinakikera kama kumuona mdada mwembamba akiwa na kitambi, yani utakuta mdada ni mzuri mrembo safi ila akitembea katumbo kanatangulia mbele🤒🤒.. Hua najiuliza wanakulaga nini au ni uvivu tu hata wa kufanya mazoezi.
Asa sikia, kama ni mdada, mrembo mzuri halafu una kitambi, fanya mazoezi ya kupunguza tumbo hata mara moja kwa siku. Wengine mtasema hamna hela za kulipia Jim sawa naelewa, ila kuna Applications nyingi sana za mazoezi unaweza ukaingia playstore ukadownload ukaanza mazoezi yako mdogomdogo..
Na nyie wakaka muwashawishi wapenzi wenu wafanye mazoezi bhana.
Mimi nikionaga couple mkaka upo na mdada mwembamba ana kitambi sijui hua nawaonaje yani🧐
Nimemaliza....
Leo naweza kupitiliza aisee. Nina ka uchovu hivi.sawa tukutane saa 6 mida ya kukonyeza konyeza😂