Wadada wembamba vitambi mnavitoa wapi?

Wadada wembamba vitambi mnavitoa wapi?

Sikuhizi kujifungua kwa kisu imekua mtindo pendwa ila ndio chanzo cha vitambi mdebwedo japo ukizingatia tumbo huisha ila wengi wao waliofanyiwa upasuaji ili wapate mtoto wanakua na nyama za tumbo zilizolegea mpka wazibane. Madai yao wanakuambia mashine ibaki kama ilivyokua wakati mzigo unavutika na kurudi kulingana na hali ya mwili
 
Kumbe, ila flat tummy la kazi gani?. Naina wenye flat tummy wengi njaa kali and most wana ulcers
 
Kwahyo mkuu unashauri watu waviachie vitambi. Ila kuna pisi zinavitambi ila vimewakaa njema sana alafu akipigilia na jeance juu t-shirt na unyama kama jordani chini alooo unahisi umekutana na .5 flani hivi wa mchongo
 
Back
Top Bottom