Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kivipi unirudishe😂Tunaweza kukurudisha miaka nyuma hata miaka 100 iliyopita, vipi uko tayari? 😀
Nakazia.Naomba kuona picha ya vitambi vya wadada wembamba .
Hapana nashauri tuounguze vyakula vyenye mafuta, mazoezi pia kama alivosema Leejay49Kwahyo mkuu unashauri watu waviachie vitambi. Ila kuna pisi zinavitambi ila vimewakaa njema sana alafu akipigilia na jeance juu t-shirt na unyama kama jordani chini alooo unahisi umekutana na .5 flani hivi wa mchongo
Afu ndo nimetoka kula hapa 😋😋Usiwe unakula ugali mwingi usiku
Mbn niko hapa[emoji854] jaribu bahati yako Madam[emoji3526]Wanatakana wao kwa wao[emoji23]. Ila nilipenda sana niolewe na Mchaga
hataki umgegede kwenye mwanga🤣Mwanamke mwenye kitambi havutii. Utakuta mwenye kitambi anavaa ile michupi sijui ni taiti inayofika hadi tumboni sijui mnaiitaje kukibana kitambi kisimwagike nachekaga kweli
We unataka tukurudishe miaka mingapi?kivipi unirudishe😂
1945We unataka tukurudishe miaka mingapi?
Tukitaka tuwatoe 'out' angalau mkabadilishe mle ata mishikaki ya dagaa mnakataa, sasa tuwasaidieje? 😀Afu ndo nimetoka kula hapa 😋😋
Uko tayari kuwa 'zinjanthropus' 😀1945
Aisee hata mimi siwezi acha kula ugali na nyamaAfu ndo nimetoka kula hapa 😋😋
Haha🤣🤣...ila nimempenda wife wako🤗🤗Mi navikubali sana vitambi ivo wanakuwa wamoto down na utelezi wala wala😄😄😄!!
Nimemlisha wife ila kitambi hakitokei, sasa ni vile tu sijapata mchepuko mwenye hako kamradi
I can't even fathom the thought of it mkuu.Kwani hujawahi kuwaona wadada wembamba wenye vitambi mkuu
Wanapenda sana taa zizimwe 🤣 kitambi ni shidahataki umgegede kwenye mwanga🤣
Sawa mkuuBasi nitakuwekea picha nikipata kesho...maana mimi huku nakoishi nawaona wengi sana😃😃😃
najua umesoma HKL.mimi pcm inanichanganya.Hazi 🚮
Hadhi ✅
Ukipata muda uje na ID yako ya 2016,sio hii ya 2023 ili twende vizuri