Wadada wembamba vitambi mnavitoa wapi?

Wadada wembamba vitambi mnavitoa wapi?

sema tokea 2016 ulikuwa pisi fulani hivi ambayo imejijengea hazi humu ndani.
ikafikia hatuta nikaanza kukufatilia Ili nikutongoze nipate kukuona unafananaje

ulikuwa mpole sana ikapilekea Mimi kusubiria komenti zako kwahamu kwenye jukwaa lako pendwa la mmu wakati ule.vidume tumekufatilia sana tuwekaribu newewe tutupie nyavu.

ila nashangaa Sasa hivi umechachuka sana umekuwa mswahili sio wakishua tena.maringo yamekuisha kwanini mrembo?

wee ulikuwa ni id yakike inayo sadikika inamilikiwa namrembo matata sana namba moja hapa jf.Joana.

Joana jina lakirembo sana.
Sasa hivi mbona umechuja sana?au ushazalishwa?aimin ushakuwa singo mamá?
Duuuh hii hatariii sasa, khaaah
 
We mwana wee, temea mate chini.....tulikuwa Kama wewe wenzio, sasa hivi tuna vitambi vinakata Kona, halafu usiambiwe havisikii mazoezi wala dawa za kuharisha[emoji1787]

Ukitaka kukimaliza labda ukonde, na ukikonda dako linaisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa niondoe taako kisa tumbo....thubutuuu[emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseeee!! Hapo utasingizia uzazi?? Emu fanya mazoezi crop top unamuachia nani kwa mfano??
 
Habari za jioni wanajamvi

Niende kwenye mada moja kwa moja. Hivi wadada wenzangu hua mmnaajiskiaje 🤔🤔.

Yaani hakuna kitu kinanikera kama kumuona mdada mwembamba akiwa na kitambi, yani utakuta mdada ni mzuri mrembo safi ila akitembea katumbo kanatangulia mbele🤒🤒.. Hua najiuliza wanakulaga nini au ni uvivu tu hata wa kufanya mazoezi.

Asa sikia, kama ni mdada, mrembo mzuri halafu una kitambi, fanya mazoezi ya kupunguza tumbo hata mara moja kwa siku. Wengine mtasema hamna hela za kulipia Jim sawa naelewa, ila kuna Applications nyingi sana za mazoezi unaweza ukaingia playstore ukadownload ukaanza mazoezi yako mdogomdogo..

Na nyie wakaka muwashawishi wapenzi wenu wafanye mazoezi bhana.

Mimi nikionaga couple mkaka upo na mdada mwembamba ana kitambi sijui hua nawaonaje yani🧐

Nimemaliza....
Kwani ni mademu zetu basii! si huwa tunachakata tu mbususu vitambi vyao havituhusu japo vinakera ila lazima tuje kukandia huku jf
 
Back
Top Bottom