Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga wewe pambana na hali yako, hivi haujui raha kitambi?Habari za jioni wanajamvi
Niende kwenye mada moja kwa moja. Hivi wadada wenzangu hua mmnaajiskiaje 🤔🤔.
Yaani hakuna kitu kinanikera kama kumuona mdada mwembamba akiwa na kitambi, yani utakuta mdada ni mzuri mrembo safi ila akitembea katumbo kanatangulia mbele🤒🤒.. Hua najiuliza wanakulaga nini au ni uvivu tu hata wa kufanya mazoezi.
Asa sikia, kama ni mdada, mrembo mzuri halafu una kitambi, fanya mazoezi ya kupunguza tumbo hata mara moja kwa siku. Wengine mtasema hamna hela za kulipia gym sawa naelewa, ila kuna Applications nyingi sana za mazoezi unaweza ukaingia playstore ukadownload ukaanza mazoezi yako mdogomdogo..
Na nyie wakaka muwashawishi wapenzi wenu wafanye mazoezi bhana.
Mimi nikionaga couple mkaka upo na mdada mwembamba ana kitambi sijui hua nawaonaje yani🧐
Nimemaliza....
Usikubali kitambi kabisa ni aibu kabisa. ,na kukitoa sio kazi rahisi.Na kula kufyeka hamna kitambi ina maana gani hii