cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Yani watu wamekosa hofu ya Mungu kila jambo liwe na kiasi jamani, anayefanya huu mchezo lazima si mzima, nimewahi kukutana na wanaume wanataka huu mchezo eeeh niliwachukia kweli, nililia nakuumia nikawaza wamenionaje labda aiseeHakika hivi huo ujasili unaanza vipi? Ooh God niepushe na hili kwa kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app