Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
[emoji121]Naona mnatumia nguvu nyingi kuwapaisha hao wenye hayo makalio yaliopitiliza. Yaani kila sehemu wenye makalio wenye makalio. Heeeee.
Pia niseme si tabia nzuri wanayoifanya ila tiba ipo kwenu Me kuukataa huo mchezo basi kama ikiwa wakiwapa mnakubali sidhani kama inaweza kuisha zaidi hizi tutaziita kumpigia mbuzi gitaa.
Na we mleta uzi wacha kulalamikia wanawake wakati na wewe ni muharibifu.
MKUU Hajar
Wewe vipi umejaaliwa wezere au hauna hata la kupatia shikamoo mtaani?
Tuanzie hapo kwanza.