LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,642
ha ha ha na Uzee huu nna wa kunificha basi teh teh teh!Mungu asimame jaman na naamini tukiomba atafanya
umeadimika sana mpnz wangu nini mbaya? au ulifichwa na nani?
Nina kavulana kapya kananisumbua mpenz yaani pumziko langu ni kazini nikirudi nyumbani ni juu juu malezi yamepamba moto na watoto wa mwisho wanavyosumbua sasa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app