Wadada wengi wanajiuza kijanja janja

Vitoto vya 2000 Nina vikafua vizuri tu ila sema vina UTI Sugu hatari
 
Shida ni kwamba hata aliyewaumba.kawaumba kwa ajili ya kupewa TU
 
Haya ndio mambo ambayo wana sisiem wanayaweza ukiondoa wizi wa kura.
 
Paulo na Hasila?
 
Wakaka wengi mnawanunua kijanja ili wake zenu wasijue,,hakuna biashara bila wateja.
 
Wanaume ndio wanafanya wanawake waweze kujiuza.

Kanuni za uchumi za demand and supply zinasema bei hupatikana pale demand and supply zinapokutana.

Maana yake wanaume wakiacha kutumia pesa kwenye mapenzi, hao wanawake hawawezi kuendelea kujiuza.
 
Wanawake wenzangu kama tulivyokubaliana......heri kuonekana unajiuza kulikoni kuliwa bure kizembe.
 
Ila Wanawake bhana sio wanajiuza tu ila Wanapenda kujaribu radha mbalimbali za Wanaume
 
Kama umejua wanajiuza, anza kuwanunua.

Kumiliki Dem ni gharama kuliko kusoti Malaya.

Utelezi na UTI zao ni zilezile
 
Wanaume ndio wanafanya wanawake waweze kujiuza.

Kanuni za uchumi za demand and supply zinasema bei hupatikana pale demand and supply zinapokutana.

Maana yake wanaume wakiacha kutumia pesa kwenye mapenzi, hao wanawake hawawezi kuendelea kujiuza.
😄 bila pesa si hawatotoa sasa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…