Wadada wenye akili, heshima na adabu ni ngumu sana kuolewa dunia ya leo. Ndoa zimebakia kwa micharuko tu

Hizo ni stress mkuu...tafuta mme akuoe

Wanaume dunia nzima likifika swala la ndoa huwa hatukurupuki...
Si kweli. Wanaume wengi wameoa wanawake ambao siyo machguo yao. Wengi wlitaka kupita kuonja lkn inatokea demu ana nasa mimba. Maisha ya ndoa yamaanzia hapo.

Nasema wengi, siyo wote.

Mm Sexless ni kungwi la kitaa. Nishaona na kusikia mengi.
 
Aaah! Unaoa wa kufanana nae mkuu
 
Mmh! Kivipi? Hebu fafanua
Ukweli mchungu mkuu siku hizi watu wanaangali codination na siutegemezi

Hivi hujawahi sikia mshenga kasababisha mtu asiolewe

Anyway ilikua hivi, baada ya kutumwa apeleke barua ya posa aliporudi kwa muoji akamuita pembeni Kisha akamwambia aisee unataka kuoa ile familia! Nimaskini wakutupwa achana naye yule mwanamke atakufirisi atakufanya tegemezi

Basi mwenzangu na mimi ikabidi asioe na alimuacha yule binti.
 
Ok

Kwamba mwanaume anaogopa kuoa kwasabb ukoo mzima utahamia kwake. Ama atageuka kuwa sponsor wa ukoo. Siyo?
 
Unaujua wimbo wa manunga embe wa ngoni tribe?

#YNWA
 
Unaujua wimbo wa manunga embe wa ngoni tribe?

#YNWA
Naufahamu. Lkn ule ulikuwa unasadifu maisha ya miaka ya nyuma ambapo watu walijuana vema. Na wanawake walikuwa wakichaguliwa na wazee wa ukoo ama mashangazi. Kwahiyo machaguo yaliangalia vigezo na wasio na vigezo waliachwa.


Siku hizi vigezo ni vya kishetani, na wachangiaji ni wakaka wenyewe. Wanaangalia "chura, sura, rangi, na kukata mauno. Ndiyo nini hivi??
 
Hata usiooolewa utagongwa tu
 
Kuna muda wanawake huwa mnafurahisha Sana,
Yaan mkishaliwa hovyohovyo huko ndiyo mnajidai mmetulia na mnataka mume Tena asile mzigo mpaka ndoa!
kwanini msiwe mnatunza bikra zenu kwa ajili ya wanaume wa ndoto zenu? siyo umeshakuwa used then unaropoka unajieshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…