Wadada wenye makebo makubwa punguzeni dharau. Kuna maisha zaidi ya mishepu yenu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Kumbuka ukiugua utaomba kuchangiwa kama wengine.

Kumbuka ukipiga yoe utapenda watu wafike kwa haraka kama wengine.

Kumbuka utazeeka kama watu wengine

Wengi wenu mmeishia kuwa vyombo vya starehe na makebo yenu yamekuwa kama tegesha la uchumi wenu wa day to day basis, of coz ni muda wenu wa kujinadi ila muda sio rafiki wa yooyote, nyakati ni upepo.
 
Screenshot_20260406-130034~2.jpg
 
Ulipiga sound ukapigwa kibuti nn? Mbona hasira kali kwa Wanawake na shepu zao🤣
 
Kumbuka ukiugua utaomba kuchangiwa kama wengine.

Kumbuka ukipiga yoe utapenda watu wafike kwa haraka kama wengine.

Kumbuka utazeeka kama watu wengine

Wengi wenu mmeishia kuwa vyombo vya starehe na makebo yenu yamekuwa kama tegesha la uchumi wenu wa day to day basis, of coz ni muda wenu wa kujinadi ila muda sio rafiki wa yooyote, nyakati ni upepo.
Vikondefu mna hila! Kuna bro wangu ameoa kimwanamke kama kina unyafuzi! Huwa nacheka mpaka nataka kuzimia!
 
Zamani Walitamba wenye english figures, mwanya, dimples na sura za kuvutia. Ni muda wao kuwa huu, beauty standards zikibadilika watatamba wengine
Sidhani kama zitakuja kubadilika, wanaume tumekuwa mazuzu sana wa kupagawa na wezele la nyuma!
 
Kumbuka ukiugua utaomba kuchangiwa kama wengine.

Kumbuka ukipiga yoe utapenda watu wafike kwa haraka kama wengine.

Kumbuka utazeeka kama watu wengine

Wengi wenu mmeishia kuwa vyombo vya starehe na makebo yenu yamekuwa kama tegesha la uchumi wenu wa day to day basis, of coz ni muda wenu wa kujinadi ila muda sio rafiki wa yooyote, nyakati ni upepo.
Bila hata picha stori kama hizi huwaga hazinogi aisee🤣

Cc: Mimi Wewe Yule
 
Back
Top Bottom