Zamani ipi hiyo mkuu mbona hili sijawahi kulisikia?Zamani Walitamba wenye english figures, mwanya, dimples na sura za kuvutia. Ni muda wao kuwa huu, beauty standards zikibadilika watatamba wengine
Vikondefu mna hila! Kuna bro wangu ameoa kimwanamke kama kina unyafuzi! Huwa nacheka mpaka nataka kuzimia!Kumbuka ukiugua utaomba kuchangiwa kama wengine.
Kumbuka ukipiga yoe utapenda watu wafike kwa haraka kama wengine.
Kumbuka utazeeka kama watu wengine
Wengi wenu mmeishia kuwa vyombo vya starehe na makebo yenu yamekuwa kama tegesha la uchumi wenu wa day to day basis, of coz ni muda wenu wa kujinadi ila muda sio rafiki wa yooyote, nyakati ni upepo.
HahahaUlipiga sound ukapigwa kibuti nn? Mbona hasira kali kwa Wanawake na shepu zao🤣
Wewe ni wa zamani? 😁Zamani ipi hiyo mkuu mbona hili sijawahi kulisikia?
Sidhani kama zitakuja kubadilika, wanaume tumekuwa mazuzu sana wa kupagawa na wezele la nyuma!Zamani Walitamba wenye english figures, mwanya, dimples na sura za kuvutia. Ni muda wao kuwa huu, beauty standards zikibadilika watatamba wengine
Bila hata picha stori kama hizi huwaga hazinogi aisee🤣Kumbuka ukiugua utaomba kuchangiwa kama wengine.