Wadada Wenye Miili Mikubwa Tujitahidi Kujisafisha vyema kupunguza Aibu

Nusratt

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
1,712
Reaction score
4,259
Habari jamani leo naomba nije kasi na haraka maana kituko nilichoshuhudia jana ni aibu kubwa sana.
Songa nami.

Jana pale maeno ya Ubungo External kulikuwa na shughuli ya kumtoa mtoto 40.
Waalikwa walikuwa ni wengi na palikuwa na hekaheka nyingi sana.

Sasa basi katika makutano hayo alikuwapo pia dada mmoja aliyevalia dera lililochanwa pande zote mbili huku ndani akiwa hajajisitiri na chochote si kufuri wala skintight.

Sasa ukapigwa wimbo aupendao, katika harakati za kuonesha ufundi wa kucheza akajikuta anajidhalilisha hadharani.

Alitereza bahati mbaya wakati anacheza na kujikuta yuko chini.
Na sio yuko chini tu, ni yuko chali miguu biduuuu!

Tulichokishuhudia hakika kinatisha.
Yule dada alikuwa na nywele za sehemu za siri zimejaa mpaka zimekuwa za brown.
Katikati ya makalio alikuwa na weupe wa kuungua sijui au wekundu au weupe wa utando na mbaya zaidi alidondoka chali hivyo watu wakaona mpaka kinena chake.

Mtoto wa kike unashindwa kujitunza kweli?
Unashindwa kusafisha vizuri tu.
Wanaume poleni maana kwa ile hali ya jana ni uvumilivu tu unatakiwa.

Mwanamke Chukua nyembe yako au mashine, bong'oa na uanze kujisafisha taratibu.
Nywele zikiwa ndefu huwa zinahifadhi vingi.

Ukimaliza kujinyoa jisafishe kisha paka mafuta yako ya maji au ya mgando.

Wanawake wenye miili mikubwa tujitahidi kujisafisha.
Tutanuka jamani.
Ukikojoa nawa
Ukiingiliwa nawa
Ukijisaidia haja kubwa nawa
Ukioga nawa.

Asubuhi njema
 
Umefunga kwa kauli mbiu mitaro isafishwe kwa ulimi😂😂😂wazee kazi iendelee
 
Ptuu!
Sijui nini kimenituma kufungua uzi huu!
Umeniharibia sana siku yangu isee!
 
Unatuta attention .

Wewe ni moja ya takakataka zilizopo JamiiAfrica.

Moderator
Active

Huyu ***** kwanini hamumuoni mkampatia Ban?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…