Wadada Wenye Miili Mikubwa Tujitahidi Kujisafisha vyema kupunguza Aibu

Huwa nawashangaa sana wanaopenda wanawake wenye matako makubwa, kiuhalisia huwa wahafanyi mapenzi nadhani ni punyeto iliyochangamka!!
 
Mbona mnamshambulia binti pasi na sababu, yeye kajiweka mlengo huo wa kuzungumzia ngono, wapo wapenda muziki, filamu, games, siasa, michezo nk.

Dada endelea kuwapa elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…