Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,

Toka nizaliwe hadi sasa nishawachapa miti wadada wasiopungua 32 lakini kati ya hao 32 masikini walikua10 na wengine 22 ni matajiri na wanatokea kwenye familia za kitajiri

Nilichoshangaa ni kuwa matajiri wana upendo wa nguvu sana lakini masikini hawana upendo kabisa aisee.

Masikini anakuja gheto kupigwa miti lakini mahesabu yake yakiwa yanalenga pochi yako yaani walet yeye mgonge lakini ukimaliza kumgonga anaanza kukueleza shida zake utazani wewe ndo uliyemzaa. Lakini matajiri akija gheto utapiga miti na ataenda kwao bila hata kuomba sent yako

Madada masikini badilikeni


LONDON BABY
 
Wewe utakuwa mgonjwa wa fikra

Tajiri anafedha teyari, kwake sio kipaumbele shida yake umtoe muwasho baasi

Maskini hanafedha, kujitokedha kwako, kweke ahuweni anakuona fursa.....hana fedha
Mkuu kwahiyo unamanisha masikin wanatumia mapenz kama fursa siyo
 
Wenzako wanahesabu nazi, wewe unahesabu makuti , ila ktk hao 32 ulitumia kinga au ndio wale mabingwa wakujiachia kwenye miti miti mikavu.
 
Back
Top Bottom