Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #41
Shida yangu ni mapenz ya dhat sipend kuombwa hela na kufanywa kitegauchumi kwa mgongo wa mapenzHebu subiri, shida yako mapenzi ya dhati au kuombwa pesa? Kuombwa pesa hakuhusiani na mapenzi ya dhati. Maana anaweza asikuombe pesa na akawa hana mapenzi ya dhati na wewe kabisa!!
Dogo umechanganya mambo hapo, ungesema hivi "wanawake masikini wanaomba sana pesa kuliko wanawake matajiri"
Mwana mke anayekupenda hawez kukaa anakuomba pesa kishamba shamba utampa utakapopata