Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

Hujaelewa nini?

Ukiambiwa simba akidiwa hula nyasi tafsiri halisi kimaudhuwi inamaanisha nini

Unaelewa unachouliza? Au unaandika tu ilimradi
We jamaa unajua maada inasemaje kweli

Mbona umeanza kutoka ndan ya maada na kwenda nje?
 
Ukweli ni kwamba kuwa na mahusiano mwanamke asiyejishughulisha ni shida kubwa,mwanamke hata chupi hawezi kujinunulia wa nini sasa huyo?mwanamke matonya kwangu hana nafasi nataka mwanamke mwenye future, sio mwanamke wa salon tuu kila saa kuweka mawigi na mikucha ya bandia.sometime muwe mnajielewa basi jaman tunataka wanawake wenye malengo.
 
siwaelewagi madem wa hivyo, dem wa kishua anakuletea hadi mashuka mapya, siku nyingine na mboga kabisa anakuja nayo ili mpike. sasa hawa akina mwajuma ndalandefu sasa, vikija vinakaa kitandani kupika havitaki vinataka ukavinunulie chipsi mayai.
pumbaf sana.
Ahaaaa et ndala ndefu

Alafu vinavaaga mawigi yanayonuka kishenz kama choo
 
Kunamoja alitaka kuniretea magojwa ya moyo akianza tu sms nikwambie kitu juwa bom hiro harafu huwa wanajisahau sana paka unakuta mda wotee anazungumzia shida zake tu kuriko mapenzi wakati mwingine unamkubaria ili avuwe chupi umrambe vi 2 asepe nashida zake mbere kwa mbere madem masikini pasuwa kichwa kiujumla wanawake wasio nashuguri sio atakuzeesha
Ni kweli mkuu yaan yeye badala ya kuwa deep in love ana kuwa deep in money

Yaan kila saa ushaelezwa shida ndo maana wengi wao ni single maza
 
wanaume wenye ela zao,hawaropoki wala kulalamika lalamika ovyo kama wavulana hohe hahe.
Mwanaume mwenye hela utamuona wapi dada?

Saa ngap atapata mda wa kuongea na wewe wakat gar yake yenyewe iko tinted nyeus

Achen kunuka shida aisee mnatuchosha kwakwel
 
Mwanaume mwenye hela utamuona wapi dada?

Saa ngap atapata mda wa kuongea na wewe wakat gar yake yenyewe iko tinted nyeus

Achen kunuka shida aisee mnatuchosha kwakwel
Wewe nawe ulie unachoshwa!!!???
Wallah ya Mungu mengi duniani...
Kumbe dada mi nikafikiri utasema wanaume wenye ela utawatoa wapi mvulana. Kama ni dada wasiwasi wako tu na Psychology yako
 
hamna ukweli hapo punguzeni njaa shida zako kamtangazie Daddy yankee.
Wallah marioo mnajitahidi kupiga kelele kuliko wanaume wanaojiweza.
Marioo mnakuwa na wasiwasi wa ela zenu za ngama baada ya kuchuna,so mnaogopa kuchunwa. Inabidi mtoke povu,haki yenu kwa kweli. Nawaelewa jomoni ila punguzeni kiherehere
 
hatuogopi kuchunwa. hatutaki kuchunwa. pambana na hali yako shida zako mwambie babaako na mamaako.
 
Wewe nawe ulie unachoshwa!!!???
Wallah ya Mungu mengi duniani...
Kumbe dada mi nikafikiri utasema wanaume wenye ela utawatoa wapi mvulana. Kama ni dada wasiwasi wako tu na Psychology yako
Wewe ni mvulana?

Mbona unataoa povua zaid ya omo au maada imekugusa kunako nini
 
hatuogopi kuchunwa. hatutaki kuchunwa. pambana na hali yako shida zako mwambie babaako na mamaako.
Povuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marioo hamnaga kazi zaidi ya kupiga show muhongwe na mademu zenu,then mpige kelele msihonge mlichohongwa.
Yaani wanaume wapiga porojo dezaon zenu hizi hamnaga kitu mpaka mhongw,hamnaga jeuri mjino hapa porojo tupu na kukandia wanawake
Marioo mna kazi nyinyiiii. Hataricious
 
Hahahaha naona kwa sababu KE wamekazana kudiss ME maskini umeamua kutetea kambi sio?

Basi fresh...
 
Wewe ni mvulana?

Mbona unataoa povua zaid ya omo au maada imekugusa kunako nini
Povu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]povu my foot.
Jinsia angu imeelelezwa kwenye profile angu. Mimi ninachangia kama wachangiaji wengine. Atakae panic at his own risk.
 
Back
Top Bottom