Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

map3nzi ya dhat yapo kwa yule mwenye moyo safi wenye kujali..kunyenyekea.. kibembeleza na kifariji. hapo pesa haina nafas ila pesa ina mchangobkufanikisha baadhi ya mambo katika mapenzi ya dhat na ya kweli.

great thinker mimi ndio nimeona hvyo kitokana na utafit wang wa kina usiokua wa kiserikali.

thanks.
 
Hata wale wasio na pesa wanamapenzi ya kweli, sema tu ugumu wa maisha unafanya hata waigize kwenye mapenzi kwa wanaume wenye pesa , lakini mwisho wa siku wanakuwa na wanao wapenda , mwenye pesa anaachwa solemba
 
Sasa wewe hata kuandika hujui una shughuli kweli?
Ndege wafananao huruka pamoja, huwez kuwa una shughuli kutwa ukutane na wasio na shughuli
Niwaambie kitu itawasidia wanaume, "never complain about women again, if you find valueless leave her and she will find of her type" mnapoteza nguvu zenu nyingi bila mafanikio
Wkt mwingine najiambia kuna baadhi ya wanaume hawajui wanachotaka[emoji85]
Sio kwamba najifu inawezekana unaesema hapa mimi sina shuguri mshahara wako ndoo nao lipa vibaruwa wanyumbani kwangu
Ao nawewe ndoo ware wanao tangaza shida kama yatima minasema kama unaniuzia sema ilitupate nafasi ya kupunguzia bei
 
We jamaa VP ungekuwa ww upewe kazi bila malipo ungejisikiaje acha kuwachambua mademu zako,au kwa sababu huna pesa ya kuwapa?usiwanenee mabaya cyo vyema
 
wewe komaa na hio topic yako ya super mario ila ukija magetoni utagongwa tu na kusepa. shida kamtangazie babaako.
Nigongwe na wewe au baba ako???
Hivi ushawahi kaa ukahisi una hadhi ya kugonga mtu!!? Tatizo lenu mkishamaliza mtaani kwenu huko ndio unajihisi kidume you are capable of fkng anyone,go wash your nya kwanza.
Mwanaume hata siku moja huwezi sifia eti mademu matajiri na mademu maskini,unless unapenda vya bure,kuhongwa yaani mnapenda vidonga watoto wa kiume.

Kama mnaona wanawake tukitiwa tukapewa ela tunafaidi sana,basi ungeni tera tu na nyinyi tuwe tunafanana na nyie mtapewa ela.
Si mnapenda kupewa.
Povu ruksa
 
kwahivo unamaanisha wao kwao sex ni kazi?
Hapana naye hakuombi kila SIKU ,ila ikitokea ana shida MPE ,labda uwe Malaya kama umempenda utafanya chochote kwa ajili ya kumlinda ,shida mapenzi ya kweli ndyo unakuwa huna
 
Kama mnaona wanawake tukitiwa tukapewa ela tunafaidi sana,basi ungeni tera tu na nyinyi tuwe tunafanana na nyie mtapewa ela.
Si mnapenda kupewa.
Povu ruksa

kwahio sex ishakua ajira hio? kwanini msiwe mnanigoshiet kabla ya kutafunwa?
lini tumeingia mkataba mimi nikikutafuna inabidi nikulipe?
 
10d4560cbe94f671b059d374bc5e6144.jpg

79688887ddea7ccf8f62288e089b430d.jpg

ati type hizi nao wanaomba hela [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
kwahio sex ishakua ajira hio? kwanini msiwe mnanigoshiet kabla ya kutafunwa?
lini tumeingia mkataba mimi nikikutafuna inabidi nikulipe?
Hiyo "mnanigoshiet" ni lugha gani??
We si unaona kuhongwa haistahili,lakini nyinyi ndio mnataka kuhongwa na watoto wa matajiri,basi njooni tuwatafutie mabwana mhongwe.

Yaani mwanaume hata siku moja huwezi kaa chini oooh. Madenu matajiri na mademu maskini. Umwmjuaje tajiri kwa sababu anakuhonga?? Na unahisi ana mapenzi ya dhati kwa vile anakuhonga?
Huo ni umarioo,kitonga. Wavulana mnapenda sana vitu vya bure bure now days. Mnakimbilia kusema oooh wadada wanaoomba ela ni maskini,acha tuwe maskini kama wewe ulivyo maskini kuhongwa na mtoto wa kitajiri.
Sote tunahongwa,unachoshindwa wewe ni ku admit unahongwa direct,lakini una admit unahongwa unaposema wanawake wa kitajiri,tushawaelewa marioos.
Take a seat and chill pills marioo.
Punguzeni vitonga,kupenda bure bure mtaolewa.
 
Madem akili zao bhuana ukimtongoza anakuwa n wazazi ukisha kuwa nae tu galfa anageuka yatima mara hana viatu hana kodi ya nyumba hana nguo

Upande wa pil wanaume timizen majukumu usigope kufilisika ila endapo mtoto n mzur cha mwisho km humpendi mtu usimpotezee muda wake
 
Hiyo "mnanigoshiet" ni lugha gani??
We si unaona kuhongwa haistahili,lakini nyinyi ndio mnataka kuhongwa na watoto wa matajiri,basi njooni tuwatafutie mabwana mhongwe.

Yaani mwanaume hata siku moja huwezi kaa chini oooh. Madenu matajiri na mademu maskini. Umwmjuaje tajiri kwa sababu anakuhonga?? Na unahisi ana mapenzi ya dhati kwa vile anakuhonga?
Huo ni umarioo,kitonga. Wavulana mnapenda sana vitu vya bure bure now days. Mnakimbilia kusema oooh wadada wanaoomba ela ni maskini,acha tuwe maskini kama wewe ulivyo maskini kuhongwa na mtoto wa kitajiri.
Sote tunahongwa,unachoshindwa wewe ni ku admit unahongwa direct,lakini una admit unahongwa unaposema wanawake wa kitajiri,tushawaelewa marioos.
Take a seat and chill pills marioo.
Punguzeni vitonga,kupenda bure bure mtaolewa.
hatutaki kuhongwa na hatutaki kuhonga. huwezi kunielewa kwasababu akili zako ni nzito kama mwili wako. vibonge bwana [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom