Truth Be Told
Senior Member
- Oct 23, 2017
- 121
- 198
we jikute unaelewa majukumu yao ile kwako. wanawake wasio ombaomba wapo wengi tu mkuu acha kujiumiza, zungukazunguka utakutana nao wanaojielewa.Madem akili zao bhuana ukimtongoza anakuwa n wazazi ukisha kuwa nae tu galfa anageuka yatima mara hana viatu hana kodi ya nyumba hana nguo
Upande wa pil wanaume timizen majukumu usigope kufilisika ila endapo mtoto n mzur cha mwisho km humpendi mtu usimpotezee muda wake