Wadada wote mnaosumbuliwa na sisi "me" njooni huku niwaambie kitu

Wadada wote mnaosumbuliwa na sisi "me" njooni huku niwaambie kitu

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
HAYA HAPA NI MAJIBU YA KUWAJIBU WANAUME WANAOKUSUMBUA INBOX

SWALI: mrembo unafanya nini??
JIBU: natafuta pete yangu ya ndoa sijui nimeipotezea wapi...

SWALI: tunaweza kuonana??
JIBU: nina mimba ya miezi 8 siwezi kuonana kwa hii hali

SWALI: naweza kujua zaidi kuhusu wewe??
JIBU: of course napenda hela nitumie laki 5 basi then nitakurudishia after two weeks

SWALI: una boyfriend??
JIBU: ninaye na nina watoto wawili halafu mume wangu mwanajeshi

....,..,..,,.,.,..,.,.''\\\\\\'''''''\\\''''''\''\\................,,,...,.,,,.,..,.,,,..................
 
Daah kama hujui sasa wengine tukiona sehemu easy ndo tunakata tamaa sehemu ngumu kama izo ndo tunapenda..mimba ya miezi [emoji39] [emoji39] demu wa mwanajeshi hajazoewa kupetiwa petiwa[emoji39] [emoji39]
 
Hao ni wazur "moyo mashine" ben pol amesema wamekosa majibu ya upendo ,yuko wap kwanza nitupe ndoano
 
Back
Top Bottom