mwamba c JF-Expert Member Joined Jan 2, 2017 Posts 690 Reaction score 2,362 Jul 16, 2017 #1 Wakati wa utawala wa Jk wanaume hata mababu walikuwa wanaitwa Beibiii, kwa mahaba, kaja ngosha kaondoa hela mjini eti wanaitwa wahenga. Wadada, Mungu anawaona jamani.
Wakati wa utawala wa Jk wanaume hata mababu walikuwa wanaitwa Beibiii, kwa mahaba, kaja ngosha kaondoa hela mjini eti wanaitwa wahenga. Wadada, Mungu anawaona jamani.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Jul 16, 2017 #2 Labda kwako, mimi naitwa Raphael vile vile toka kwa BWM Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
Labda kwako, mimi naitwa Raphael vile vile toka kwa BWM Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jul 16, 2017 #3 Wadada waje wajibu hii
daisys JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 261 Reaction score 225 Jul 17, 2017 #4 Ni mabadiliko tu c umeshataja watu wawili tofaut jk na hiyo ngsh Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
Ni mabadiliko tu c umeshataja watu wawili tofaut jk na hiyo ngsh Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
sajumo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 1,834 Reaction score 1,055 Jul 17, 2017 #5 Hahahahahaaa na picha Kwa dhihaka eti ooooh huyu alisema cha MTU mavi pumbav Sana hawa watu has a wadada Sent from my RIDGE 4G using JamiiForums mobile app
Hahahahahaaa na picha Kwa dhihaka eti ooooh huyu alisema cha MTU mavi pumbav Sana hawa watu has a wadada Sent from my RIDGE 4G using JamiiForums mobile app
CHE Raptino JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 1,027 Reaction score 1,068 Jul 18, 2017 #6 Ganda la muwa la Jana.......... laki si pesa [emoji112] Post sent using JamiiForums mobile app
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Jul 18, 2017 #7 Sawa.... Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app