Wadada

Wadada

mwamba c

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2017
Posts
690
Reaction score
2,362
Wakati wa utawala wa Jk wanaume hata mababu walikuwa wanaitwa Beibiii, kwa mahaba, kaja ngosha kaondoa hela mjini eti wanaitwa wahenga.
Wadada, Mungu anawaona jamani.
 
Labda kwako, mimi naitwa Raphael vile vile toka kwa BWM

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
 
Hahahahahaaa na picha Kwa dhihaka eti ooooh huyu alisema cha MTU mavi pumbav Sana hawa watu has a wadada

Sent from my RIDGE 4G using JamiiForums mobile app
 
Ganda la muwa la Jana..........
laki si pesa [emoji112]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom