hahahahaaaaaaaaaaaaaa Pearl ni bora ukajibebea zile ambazo wawezasimamia utumikaji wake......care mydia....hayo mengine akikugomea utatumia nguvu??
Hahahshhah
Hata si semi nabeba nini
Maanake mmmhh all i can say
inani chukua kama dakika15 hivi ku pac kila kitu mmmhh
sasa wajua niko wapi nikimaliza huu mchamchaka ntakupigia basi nisikie tena hiyo sauti ya maringo madoido na kuvutia hahahahahahahah lol..
My dear as long ur happyLOL...sio vituko AD, imagine mi nilikua na nung'unika but ujumbe sikufikisha ningejua kumbe ningeku PM lakini hamna kilicho haribika.. sasa am happy..
Dahhh
shikamoo ni jamani..
Napita tu.....
Kwa nini hambebi Kinga?? Hamjali eh?
Uwekee key holder ........ni muhimu sana aiseeHahahshhah MJ1 bwana dahh
Hii muhimu lakini inapoteaga kwenye begi langu mmhh
Rafiki yangu hakosi kioo, vya kupaka midomo, kitambaa, ilasijawahi chunguza full mkoba wake
My dear bajaji inauwa watu hovyoah ah ah sema tu mamy kambi popote ukimaliza job fasta unaweza kuchukua bajaji frm moro to dar wknd au sio?ah ah ah eti sauti ya kuvutia lol
Uwekee key holder ........ni muhimu sana aisee
My dear bajaji inauwa watu hovyo
mmmhh mie ntakuja na mkokoteni
nikivaa zile stilo nyekundu nakumpa yule
kaka story mmmhhh atanifikisha kwako mwaya.. anda kile kile kitanda cha siku ile hahahah lol
:bange: :bange: :bange:
ah ah ah haya bana mi ntaweka kile kile kidanda kiliacho kuchi kuchi kuchi chenye spring ili niwaskie vizuri ah ah ah
ah ah ah mi sijambo kabisa love duh begi?yani kambi popote?ah ah ah uko juu ma,miss ur sauti tena
πhone:πhone:Hahahshhah
Hata si semi nabeba nini
Maanake mmmhh all i can say
inani chukua kama dakika15 hivi ku pac kila kitu mmmhh
sasa wajua niko wapi nikimaliza huu mchamchaka ntakupigia basi nisikie tena hiyo sauti ya maringo madoido na kuvutia hahahahahahahah lol..
Usije ukajaribu kuchunguza hata siku moja utaona yasokuhusu humo kuna mengi sana ha ha ha ha
owkey am keeping it down low shhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Ama kweli mwari weye umewiva.......aksante.ah ah ah kweli kabisa maana mmmh