Mimi heslb wananidai 21M,, sijui kiukweli nitawalipa mwaka ganiduu umenikumbusha na mimi nadaiwa tu million 14 twa HESLB
Wewe ni kama Mimi, nadai 300,000/= , nikiidai naonaekana mbaya halafu juzi anaomba pia nimkopeshe 10,000/= eti amekwama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona pesa ndefu sana. Ulikuwa unasoma course gani ?
itakua medicine labdaMbona pesa ndefu sana. Ulikuwa unasoma course gani ?
Huyo kama ana akili hawezi kukosa michongo ya kumuwezesha kulipa hivyo vijisentiitakua medicine labda
sidhani kama shida hua ni akili maana wengi wananuia kutokulipa.Huyo kama ana akili hawezi kukosa michongo ya kumuwezesha kulipa hivyo vijisenti
Ki ukweli hata mimi sina mpango huosidhani kama shida hua ni akili maana wengi wananuia kutokulipa.
Ki ukweli hata mimi sina mpango huo
hata HESLB hawajakukopesha?