Wadai na wadaiwa tukutane hapa

Wadai na wadaiwa tukutane hapa

Nadaiwa 10,000/=
Demu wangu ananida 70,000/=
Nadai

50,000/=
60,000/=
35,000/=
20,000/=
20,000/=
Nilipeni nimlipe demu wangu sipendi kula hela ya mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadaiwa mpk naona dunia imenigeuka,nakaribia kutenda dhambi ya kukata tamaa
1.Mwenye nyumba 1.8M
2.Charles 300K
3.T.O wetu high level 650k
4.Ndugu yangu 250k
5.Bi mkubwa 450k
6.Mzee wa Madini 700k
7.mzee Alphonce 1.5M
8.Jirani 140k
>Hiyo namba 1 ndio balaa,nimeshamkimbia sana siku akinipata basi nimekwisha.

Nadai.
1.Deo 1.4M
2.Sanga 200k
3.Masai 450k
4.Benja 100k

>>Hapa nilipo sina dalili ya kupata ata mia,sina kazi.Naweza kukaa ata siku 4 sijala kitu chochote.Mkisikia kuna mwili tumeukuta ndani umeoza msishangae kbs ujue ni mm tu dalili zote naziona.Nashindwa kutoka mana nje nadaiwa sanaa afu mwenye nyumba ananitafuta km Bush na Osama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nadai jumla milioni 14 ila mtaa wa 3 nadaiwa 18000 nlikunywa bia jana jion sijalipa.
 
Nadaiwa tala 85000

Timiza 12000(hata line sijui nilitupia wapi)

Sihesabii ninaowadai maana najua hawana haya ya kunirudishia..nimewasamehe.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom