Stan Pearson
Senior Member
- Dec 9, 2019
- 154
- 295
Sijaona namba mkuu, au fanya kuitupia kwa PM!# maendeleo hayana chama#sasa hivi yaaaani
Kozi za Afya mkuuMbona pesa ndefu sana. Ulikuwa unasoma course gani ?
Sijaona namba mkuu, au fanya kuitupia kwa PM!# maendeleo hayana chama#
Hapana, niliwahi kufungua akaunti ila niliitumia kama wiki moja tu hata password na username nimesahau
Hongera sana
Altezza ni M14 ?hahaaaa unadaiwa altezza kabisa