Wadai na wadaiwa tukutane hapa

Wadai na wadaiwa tukutane hapa

Nimezikwa kama 3M. Watu unawapa flexibility ya kukulipa wawezavyo, na ndio hapo wanachukulia advantage.
Sasa hivi kama ntakopesha ( sina mpango huo), itabidi irudi kama tulivyokubaliana, sitajali kama mtu ana matatizo




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi umenipa nguvu. Nilidhani ni mimi tuuuu mwenye madeni... kumbe tumejazana watu kibao na madeni yetu! tena kuna wenye madeni kunizidi! Kikubwa uzima acha maisha yaendelee... akaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom